iqna

IQNA

Shirika la Habari za Qurani la Kimataifa
TEHRAN (IQNA)- Baada ya kupita miaka mitatu na nusu tangu serikali ya Nigeria ianze kumshikilia kinyume cha sheria Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky na kuendelea kukaidi amri ya Mahakama Kuu ya kuachiliwa huru mwanachuoni huo, hivi sasa hali ya kiongozi huyo wa Waislamu imezidi kuwa mbaya.
Habari ID: 3472021    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/29